BREAKING NEWS.. KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA

December 19, 2013


Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Bw. Emanuel Mteming'ombe. Bw. Mteming'ombe
KATIBU  wa  chama cha mapinduzi  (CCM) mkoa  wa  Iringa Bw Emanuel Mteming'ombe amefariki  dunia katika hospital  ya  mkoa  wa  Iringa.
Katibu   huyo  alikuwa amelazwa  katika Hospital  ya  mkoa  wa  Iringa kwa  zaidi  ya siku moja akisumbuliwa  kwa ugonjwa athima na  leo amefariki  dunia.
Mwenyekiti  wa  CCM  mkoa wa  Iringa Jesca Msambatavangu  amethibitisha   juu ya taarifa  hiyo  na  kuwa  taratibu  za mazishi  zinafanywa .
Habari  zaidi  juu ya taarifa  hii  utaendelea  kuzipata  endelea  kutembelea  mtandao  huu

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »