Ni mwaka mmoja sasa umepita tangu ulipotutoka tarehe 12 Septemba 2012 kwa ugonjwa wa kansa ya ziwa katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam alipokuwa umelazwa.
Daima unakumbukwa na mumeo Deo Kakuru Msimu,wazazi wako,wakwe zako,kaka na dada zako,shemeji zako,wifi zako, majirani na wafanyakazi wenzio wa Tumaini hospital,marafiki ndugu na jamaa.
Sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi.Pumziko la Amani, Bwana ametoa,Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.Amina.
Ibada ya Mkesha ya Kumuombea itafanyika nyumbani kwake, Chuda jijini Tanga na kufuatiwa na Ibada ya kumuombea itayofanyika Septemba 12 mwaka huu.
EmoticonEmoticon