MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA TANGA,ABDI MAKANGE ALIYEVAA SHUTI KATIKATI ALIWASILI ENEO LA MAHAFALI KATIKA SHULE YA SEKONDARI MLONGWEMA, |
HAPA NI MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA TANGA,ABDI MAKANGE AISAINI KITABU CHA WAGENI KATIKA SHULE HIYO. |
AKIWA MEZA KUU WAKATI AKIFUATILIA MAHAFALI HAYO MWISHONI MWA WIKI. |
HAPO AKITETA JAMBO NA MKUU WA SHULE YA SEKONDARI MLONGWEMA,JOHN TEMBO. |
HAPA WAKIIMBA WIMBO WA TAIFA KABLA YA KUANZA KUTOA HOTUBA YAKE. |
WANAFUNZI WANAOMALIZA WAKIMSIKILIZA KWA UMAKINI MGENI RASMI ABDI MAKANGE WAKATI AKITOA HOTUBA YAKE JANA. |
MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA TANGA,ABDI MAKANGE AKIPOKEA HOTUBA YA SHULE HIYO KUTOKA KWA MKUU WA SHULE HIYO,JOHN TEMBO. |
EmoticonEmoticon