Umitashumta yaiva Mkinga.

June 09, 2013
WANAFUNZI kutoka Tarafa za Mkinga na Maramba wilayani Mkinga wakiimba wimbo wa Taifa katika ufunguzi wa Mashindano ya Umoja wa shule za Msingi nchini Umitashumta ambayo yalifunguliwa jana na Mkuu wa wilaya ya Mkinga,Mboni Mgaza.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »