Wanachama wapya wakionyesha kadi zao Mpya walizokabidhiwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF leo OSCAR ASSENGA May 23, 2013 OSCAR ASSENGA WANACHAMA wapya waliojiunga na mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo wilayani Mkinga wakionyesha kadi zao baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Mkinga,Mboni Mgaza.Picha na Mwandishi Wetu. Share this Author : OSCAR ASSENGA Related Posts
EmoticonEmoticon