Nimejifungua salama!

May 10, 2013
MKAZI wa Jijini Tanga,Neema Mbunga (26)akiwa na sura ya tabasamu mara baada ya kujifungua mtoto wa kike kwa njia ya operation katika hospitali ya mkoa wa Tanga Bombo juzi Mie 9,2013 ,Neema Mbunga binti wa Bwana Paskali Mbunga ambaye ni Mwandishi wa gazeti la Citizen mkoani Tanga.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »