MWENYEKITI wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Tanga(Tanga Press Club)Hassani Hashim akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina elekezi kuhusu uchangiaji wa damu iliyofanyika katika ukumbi wa chama hicho,kushoto kwake ni Mratibu wa huduma za maabara mkoa wa Tanga,Mussa Juma Kayanda na kulia kwake ni katibu mkuu wa chama hicho Lulu George,Picha na Mwandishi Wetu.
Share this
EmoticonEmoticon