DC Mboni Mgaza akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Muhinduro. OSCAR ASSENGA March 17, 2013 OSCAR ASSENGA MKUU wa wilaya ya Mkinga,Mboni Mgaza akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Muhinduro Majengo kata ya Muhinduro mara baada ya kufanya ufunguzi wa ofisi ya Mtendaji wa Kata hiyo mwishoni mwa wiki. Share this Author : OSCAR ASSENGA Related Posts
EmoticonEmoticon