Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu
Bi.Tajiri Abdallah Kitenge wakati wa mazishi yaliyofanyika katika
makaburi ya Chumbageni mjini Tanga.Marehemu Bi.Tajiri ni mama wa
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama Bwana Rashid Othman.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya
Usalama wa Taifa Bwana Rashid Othman wakati wa mazishi ya Mama yake
Bi.Tajiri Abdallah Kitenge yaliyofanyika katika makaburi ya Chumbageni
mjini Tanga jana(picha na Freddy Maro)
EmoticonEmoticon