Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, akiingia katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 6, 2026, kwa ajili ya kuzindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliohuishwa pamoja na huduma nyingine za wateja wa TANESCO.
Kutoka Wizara ya Nishati, Mhe.Homera amembatana na Katibu wa Wizara ya Nishati ( Mafuta na Gesi Asilia), Dkt. James Mataragio pamoja na Mwakilishi wa Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu), Mha. Christopher Nyondo.



EmoticonEmoticon