MKINGA,TANGA,TANZANIA-Katika mwendelezo wa kuwa karibu na wananchi wenzake wa Mkinga,Mbunge wa Jimbo la Mkinga,Mheshimiwa Mwakioja,leo asubuhi ameshiriki katika mbio za DALUNI MARATHON 2026 akiwa kama Mgeni Rasmi.
Katika mwendelezo wa kuwa karibu na wananchi wenzake wa Mkinga,pia alipata nafasi ya kukimbia mbio za kilometa moja na kuibuka mshindi wa mbio hizo.
Imetolewa na:
🏢 Kitengo cha Mawasiliano,
📍 Ofisi ya Mbunge,Jimbo la Mkinga.
#Mkinga.#DaluniMarathon2026. #MabadilikoKwaMaendeleo.#Mwakioja.

EmoticonEmoticon