MAAFISA UHUSIANO NA HUDUMA KWA WATEJA TANESCO WAPIGWA MSASA JIJINI DODOMA

May 19, 2026

 

Maafisa wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa TANESCO wakiendelea kupewa mafunzo na makuzi ya kitaalamu kupitia mada mbalimbali zinazohusiana moja kwa moja na utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku, katika Mkutano Mkuu wa Mwaka unaoendelea kufanyika katika Hoteli ya Lavenda, jijini Dodoma.

Mkutano huo ulifunguliwa rasmi tarehe 18 Mei, 2026 na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, ambapo unalenga kuimarisha utoaji wa huduma bora kwa wateja pamoja na kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wa maafisa hao.


#MkutanoMkuuWaMaafisaUhusianoNaHudumaKwaWateja2026#TupoKazini




















Share this

Related Posts

Previous
Next Post »