JENERALI MKUNDA AKIWASILI BUNGENI KUSHUHUDIA UWASILISHAJI BAJETI YA WIZARA YA ULINZI

May 19, 2026




Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda, akiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Jumanne Mei 19, 2026, kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa mwaka wa fedha 2026/2027

Pichani Jenerali Mkunda akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Wizara hiyo wakiongozwa na Waziri Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »