MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU WA SLOVAKIA

November 25, 2025

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Slovakia Mhe. Robert Fico, kando ya Mkutano wa 7 wa Viongozi wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya (AU-EU Summit), unaofanyika Jijini Luanda nchini Angola.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »