UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2025 MKOANI GEITA SEPTEMBA 2,2025

September 01, 2025


 Bukombe Tuna Jambo Letu


Ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2025 Mkoa wa Geita utakaofanyika katika Uwanja wa Mwenge - Kata ya Uyovu- Siku ya Jumanne, Tarehe 2 Septemba 2025.


Shime watu wema wa Bukombe tujitokeze kwa wingi kusikiliza sera za Dkt. Doto Mashaka Biteko na wagombea wengine wote wa CCM 2025-2030.


#ChaguaCCM

#OktobaTunatiki

#MchagueSamia

#MchagueBiteko

#KusemaNaKutenda

#KaziNaUtuTunasongaMbele

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »