MPINA WA ACT WAZALENDO ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

August 15, 2025

 

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT - Wazalendo), Mhe. Luhaga Joelson Mpina. Alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Chama cha Alliance for Change anTransparency (ACT - Wazalendo), Mhe. Mhe. Luhaga Joelson Mpina. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima.  (Picha na INEC).
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Chama cha Alliance for Change anTransparency (ACT - Wazalendo), Mhe. Mhe. Luhaga Joelson Mpinana Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej wakionesha mkoba wa fomu.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Ndg. Kailima Ramadhani akimuelekeza mgombea namna ya kujaza kitabu cha wachukua fomu.

Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Chama cha Alliance for Change anTransparency (ACT - Wazalendo), Mhe. Mhe. Luhaga Joelson Mpinana akisaini kitabu.
 Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej akisaini kitabu.
Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej akisaini kitabu.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhani Kailima akizungumza.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.


Wanachama wa chama cha ACT Wazalendo waliohudhurio utoaji fomu wakiwa ukumbini.

Wanachama wa chama cha ACT Wazalendo waliohudhurio utoaji fomu wakiwa ukumbini.
Wanachama wa chama cha ACT Wazalendo waliohudhurio utoaji fomu wakiwa ukumbini.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »