MENEJIMENTI ZA INEC NA ZEC ZAKUTANA ZANZIBAR

July 18, 2025

 


Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndg. Ramadhani Kailima na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg. Thabit Idarus Faina (kulia) wakiongoza kikao cha pamoja cha wajumbe wa menejimenti baina ya Tume hizo mbili leo Julai 17,2025 kilichokutana katika Ofisi za ZEC Mjini Unguja Zanzibar. Kikao hicho ni maandalizi kuelekea kikao cha pamoja cha INEC na ZEC kitakachokutana hivi karibuni kisiwani humo. (Picha na INEC). 


Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndg. Ramadhani Kailima na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Ndg. Thabit Idarus Faina  wakiongoza kikao cha pamoja cha wajumbe wa menejimenti baina ya Tume hizo mbili leo Julai 17,2025 kilichokutana katika Ofisi za ZEC Mjini Unguja Zanzibar. Kikao hicho ni maandalizi kuelekea kikao cha pamoja cha INEC na ZEC kitakachokutana hivi karibuni Visiwani humo


--
Mroki Mroki
Online Reporter/Blogger
Mob: +255 755 373999 
     DODOMA, TANZANIA

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »