JOHN NCHIMBI AJITOSA UBUNGE JIMBO LA NYASA

June 29, 2025


 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, John John Nchimbi,leo Juni 28,2025 amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Nyasa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao, Ndugu John amechukua fomu hiyo kwenye Ofisi kuu ya Chama Cha Mapinduzi wilaya ya  Nyasa  mkoani Ruvuma

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »