MAKAMU WA RAIS DKT MPANGO,NAIBU WAZIRI MKUU DKT.BITEKO KATIKA MKUTANO WA MAFUTA NA GESI UNAOENDELEA JIJINI DAR

March 05, 2025
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, alipowasili JNICC kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Mafuta na Gesi unaoendelea Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati 5.3.2025)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Phillip Mpango akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Mafuta na Gesi Afrika Mashariki unaoendelea Jijini Dar ea Salaam. (Picha na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati  5.3.2025)




Share this

Related Posts

Previous
Next Post »