Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, leo Jumatano tarehe 12 Februari 2025.
MichuziJr Ahmad: 3. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, leo Jumatano tarehe 12 Februari 2025.
EmoticonEmoticon