KATIBU MKUU CCM BALOZI,DKT.NCHIMBI AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI MHE KANALI (MSTAAFU) FRED MWESIGYE

February 12, 2025

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Kanali (mst) Fred Mwesigye, aliyefika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo, leo Jumatano tarehe 12 Februari 2025.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »