DKT.JAFO ATEMBELEA BANDA LA REA KWENYE MKUTANO WA KIKANDA WA NISHATI 2024

December 05, 2024



📌Aipongeza REA kwa kufikisha umeme vijijini


📌Asisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia


📌Apokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea



Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati akifunga Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 uliofanyika leo tarehe 5 Disemba, 2024 jijini Arusha.



Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng