 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki (EAC) kwenye picha ya pamoja kabla ya Mkutano wa kawaida wa
24 wa viongozi hao pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo katika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 30
Novemba, 2024. |

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassanakiwa na baadhi ya Wakuu wa Nchi
Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwenye Mkutano wa kawaida wa 24
wa viongozi hao uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha
(AICC) Jijini Arusha tarehe 30 Novemba, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki (EAC) kwenye picha ya pamoja kabla ya Mkutano wa kawaida wa
24 wa viongozi hao pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo katika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 30
Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na baadhi ya Wakuu wa Nchi
Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwenye picha ya pamoja kabla ya
Mkutano wa kawaida wa 24 wa viongozi hao pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya
Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini
Arusha tarehe 30 Novemba, 2024.
Share this
EmoticonEmoticon