WAZIRI MKUU ITALIA AKISALIMIANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE TANZANIA MHE. JANUARY MAKAMBA

January 29, 2024

Waziri Mkuu wa Italia, Mhe. Giorgia Meloni akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) katika ukumbi wa mkutano jijini Roma, Italia. Waziri Makamba yupo Roma kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Nne wa Wakuu wa Nchi za Afrika na Italia ulioanza tarehe 28 - 29 Januari 2024.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »