TANZANIA NA ZAMBIA WATILIANA SAINA MAKUBALIANO YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIBIASHARA 8 KATI YA 24

October 12, 2023

 


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah  akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zambia  Bi Lillian Bwalya wakitia saini Makubaliano ya kutatua changamoto za kibiashara 8 kati 24 kati ya Tanzania na Zambia wakati wa  Mkutano wa Pamoja wa Kujadili Changamoto za Biashara baina ya nchi hizo uliofanyika 09 - 10/10/2023 katika Kituo cha Huduma za Pamoja Mpakani- Tunduma, Songwe. Vikwazo 16 vitatatuliwa kabla ya Disemba 2023.



Share this

Related Posts

Previous
Next Post »