MAKAMU WA RAIS KATIKA UNGA 78 MAREKANI

September 20, 2023

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika Ufunguzi wa  Mkutano wa Baraza Kuu la 78 la Umoja wa Mataifa (UNGA 78) unaofanyika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani. (Tarehe 19 Septemba 2023)


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »