Mtaalam wa Kitengo cha Upatikanaji wa Wateja Wapya Tigo, Keneth Ndulute akielezea jambo kwa Mkurugenzi wa TCRA, Mhandisi. James Kilaba. |
Meneja Mradi wa Biometric wa Tigo, Mohamed Sufian akiwa kwenye banda la Tigo na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo mara baada ya uzinduzi wa mfumo mpya wa usajili wa laini za simu.
|