RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ISAKA-USHIROMBO KM 132 KATIKA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA

March 10, 2018


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi wa Kahama mara baada ya kufungua barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya wananchi wa Kahama mara baada ya kufungua barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami.


Sehemu ya Wananchi waliofika kwenye sherehe za ufunguzi wa barabara ya Isaka-Ushirombo km 132 iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Masumbwe Mbogwe mkoani Geita wakati akielekea Kahama mkoani Shinyanga. PICHA NA IKULU


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »