Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine
wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45
iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika eneo la Uyovu mkoani
Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi
rasmi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika
kujengwa kwa kiwango cha lami katika eneo la Uyovu mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya
wananchi wa Uyovu mkoani Geita kabla ya kufungua rasmi wa Barabara ya
Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi wakati akitizama kwaya
ya Baraka ilipokuwa ikitumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa barabara
ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha
lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanakwaya ya Baraka
wakati alipowasili Uyovu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Uyovu-
Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Nyakayondwa
Bangwa mkoani Geita wakati akielekea Uyovu kwa ajili ya ufunguzi wa
Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango
cha lami.
Sehemu ya Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45
iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi wa Uyovu mara
baada ya kufungua Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika
kujengwa kwa kiwango cha lami. PICHA NA IKULU