MWANANKE NDIO ANAYETENGENEZA DUNIA -RC SHIGELLA OSCAR ASSENGA March 10, 2018 TANGA OSCAR ASSENGA MKUU wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella amesema wanawake ndio wanaitengeneza dunia hivyo wanahitaji kuungwa mkono ili waweze kufikia malengo yao ya kuweza kujikwamua kiuchumi wao na jamii zao. Share this Author : OSCAR ASSENGA Related Posts