Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa akipokea Bandera ya FIFA kutoka kwa Rais wa Shirikisho
la Mpira Duniani(FIFA)Bwana Gianni Infantino katika mkutano na waandishi
wa Habari uliofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu. leo February
22/2017Jijini Dar es salaam Tanzania
Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa akipokea Jezi namba Tisa kutoka kwa Rais wa Shirikisho
la Mpira Duniani(FIFA)Bwana Gianni Infantino katika mkutano na waandishi
wa Habari uliofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu. leo February
22/2017Jijini Dar es salaam Tanzania
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya Kinyango Rais wa Shirikisho
la Mpira Duniani(FIFA)Bwana Gianni Infantino katika mkutano na
waandishi wa Habari uliofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu. leo February
22/2017Jijini Dar es salaam Tanzania
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU