Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji
wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Museveni mara baada ya kuwasili
katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na mwenyeji wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Museveni mara
baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais
wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Museveni kabla ya kuanza mazungumzo yao
katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na ujumbe wake katika
Mazungumzo na Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Museveni katika Ikulu ya
Entebe nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitaabu cha Wageni
mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Entebe nchini Uganda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyeji wake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu
ya Entebe nchini Uganda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Entebe nchini Uganda ambapo pamoja na mambo mengine atahudhuria
vikao vya Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki vitakavyoanza
kesho jijini Kampala nchini Uganda.
Kikundi cha ngoma za Asili cha
Masters of ground kutoka Wilaya cha Kyotera, Masaka nchini Uganda
wakitumbuiza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Entebe nchini Uganda.
PICHA NA IKULU