Waziri Ummy Mwalimu kuzindua Mashine ya CT SCAN Bugando Jijini Mwanza

January 25, 2018
Mashine hiyo ya uchunguzi wa mwili wa mwanadamu CT Scan (Computerized Tomography Scan) inatarajiwa kuzinduliwa kesho ijumaa Januari 26,2018 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Waziri. https://youtu.be/oekyZAxlxak

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »