Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru mara baada ya kushiriki
Sakramenti Takatifu katika Ibada ya jumapili iliyofanyika katika Kanisa
la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru kwa kusali pamoja na Mke
wake Mama Janeth Magufuli, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa mara
baada ya wote kwa pamoja kushiriki Sakramenti Takatifu katika Ibada ya
Jumapili iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya Jumapili pamoja
na Mke wake Mama Janeth Magufuli. Ibada hiyo ya Jumapili ilifanyika
katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini
Dar es Salaam.
Wanakwaya kutoka Chuo cha Ardhi
jijini Dar es Salaam wakiimba kwenye Ibada hiyo ya Jumapili ilifanyika
katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya Jumapili na Mke
wake Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary
Majaliwa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
jijini Dar es Salaam.
Paroko Msaidizi wa Kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Fr. Asis Mendokta akihubiri katika
Ibada ya jumapili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoka Kanisani pamoja na Mke wake
Mama Janeth Magufuli mara baada ya Ibada ya jumapili iliyofanyika katika
Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinunua Nakala za CD ya kwaya kutoka
Chuo cha Ardhi mara baada ya Ibada. Kushoto ni Mke wake Mama Janeth
Magufuli akifurahia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Kalenda mara baada ya kupewa
na moja ya Waumini wa Kanisa hilo mara baada ya Ibada ya jumapili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na waumini wengine mara
baada ya ibada ya jumapili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU