Ni jumatatu Disemba 25,2017 ambapo Wakristo kote duniani wanaungana pamoja kusherekea Sikukuu ya Krismasi ambayo ni kuzaliwa kwa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Ungana nasi kupata salamu za Krismasi kutoka Jijini Mwanza.
https://youtu.be/GxpMocc9swc