|
Meneja Mauzo Mkoa wa Mtwara-Lilian Mwalongo akitoa maelezo kwa mteja wa Simu aina ya
Tecno R6 kwa Faraji Said Lembe Mkazi wa Masasi katika Duka la Huduma kwa Wateja
lililopo Masasi Mkoani Mtwara Simu ya Tecno R6 inauzwa shilingi laki moja na
tisini na Tano kama Promotion.
|
|
Meneja Mauzo Mkoa wa Mtwara-Lilian Mwalongo akikabidhi simu aina ya Tecno S1 kwa mteja
Faraji said Lembe mara baada ya kupata maelezo katika Duka la Huduma kwa wateja
lililopo Masasi Mkoani Mtwara.
|
|
Meneja Mauzo Mkoa wa Mtwara-Lilian Mwalongo Akikabidhi Kofia Ngumu na Funguo ya pikipiki kwa mshindi wa shindano la Nunua Ushinde Saudi Chimatilo Mkazi wa Chiungutwa,Masasi Mkaoni Mtwara Shindano hilo ni kwa wanunuzi wa Sim aina ya Tecno R6 na Tecno S1 ambapo washindi walikabidhiwa Seti za Television pamja na Pikipiki.
|
|
Mshindi wa
Shindano la NUNuA USHINDE Saudi Chimatilo akiwa katika Pikipiki yake mara baada
ya kushinda promosheni hiyo inayojumuisha Simu aina ya Tecno R6 na Tecno S1 8
|
photo
Best Regards
Krantz Mwantepele| Managing Director
Share this
EmoticonEmoticon