Sehemu ya watumishi wa Wizara ya Mifugo na uvuvi kutoka katika sekta ya uvuvi
wakiwa katika kikao pamoja na Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Luhaga MpinaÂÂÂÂÂÂ
mbele kulia na Naibu Waziri Mhe. Abdalah Ulega. Kikao hicho kimefanyika katika
Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Jijinini Dar es Salaam.
Katika Picha
katikati ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina, kulia kwake ni Naibu Waziri
wa Wizara hiyo Mhe. Abdalah Ulega,Kulia ni katibu Mkuu wa Mifugo Dkt. Maria Mashingo
na katibu Mkuu uvuvi Dkt. Yohana Budeba wakiongea na watumishi wa sekta ya
Uvivi katika Ofisi za Wizara hiyo jijini Dar es Salaam. (Picha na Mpiga Picha
Maalum)
EmoticonEmoticon