Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mhe. January Makamba leo amekutana na kufanya mazungumzo na
Viongozi wa Taasisi za Muungano zilizopo Zanzibar. Katika kikao hicho
kilichofanyika katika Jengo la Uhamiaji Waziri Makamba alitoa fursa ya
viongozi hao kuwasilisha maoni na changamoto zinazojitokeza katika
utendaji wao wa kazi na kuweka mikakati ya kukabiliana nazo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu
wa Rais Mhe. January Makamba wa (tano kutoka kulia) akiwa katika picha
ya pamoja na Viongozi wa Taasisi za Muungano waliopo Zanzibar. Waziri
Makamba amepata fursa ya kuwasilikiza na kuwaahidi kufanyia kazi
mapendekezo yote yaliyowasilishwa.
EmoticonEmoticon