Tigo Fiesta SupaNyota 2017 yapata mwakilishi toka mkoa wa Rukwa

October 20, 2017
Msimamizi mkuu wa Tigo Fiesta SupaNyota Nickson George akitangaza walioingia mchujo wa 11 bora.
Majaji wakijadiliana jambo.

Top 6 walioingia kwenye mchujo
Mshindi wa Tigo Fiesta SupaNyota 2017 mkoani Rukwa , Ze Battle 16 akifanya yake kwenye steji.

Meneja Biashara na Masoko Tigo nyanda za juu kusini, Oliver Baltazar  akishuhudia mshindi wa Tigo fiesta supanyota mkoani Rukwa, Ze Battle 16 akipongezwa na mshindi wa pili, Ambrose mara baada ya kumtangaza mshindi. Kushoto ni Meneja Mauzo Tigo mkoa Rukwa Francis Ndada



Majaji wa Tigo Fiesta Supa Nyota wakiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi aliyepatikana mkoani Rukwa, Ze Battle 16.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »