Aslay akiimba kwa hisia mapema wiki iliyopita katika jukwaa la Tigo Fiesta Mkoani Njombe |
Wasanii Jux, Nandy, Ben Pol na Maua Sama walipanda pamoja na kuimba nyimbo zao mbalimbali kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa sabasaba mjini Njombe usiku wa kuamkia jumamosi. |
Mr blue akiwapagawisha wakaziwa mkoa wa Njombe mapema wiki iliyopita. |
Chege Chigunda akitumbuiza na madansa wake |
Darasa akiburudisha wakazi wa Mkoa wa Njombe mapema wiki iliyopita. |
Squeezer akiburudisha umati wa wakazi wa Njombe waliojitokeza katika Tamasha la Tigo Fiesta wiki iliyopita |
Vanesa Mdee akiwa katika jukwaaa la Tigo Fiesta Mkoani Njombe usiku wa kuamkia jumamosi. |
EmoticonEmoticon