Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Resolution na Kampuni ya Mikopo ya
Resolution Bw. Peter Nduati akielezea mabadiliko mbalimbali ya
kampuni,katika utendaji kazi na kuwajibika kwa wafanyakazi na
kuwasisitiza kuchapa kazi zaidi.
Wafanyakazi wa Resolution Insurance wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu Bw. Peter Nduati wakati akiongea nao.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya Resolution Tanzania Bi.
Maryanne Mugo akieleza kwa ufupi kuhusu IRAP na changamoto zake.
Meneja
wa Rasilimali Watu na Rasilimali Bi. Jennifer Mburu (kushoto) wa Kampuni ya Bima ya Resolution akielezea
Maana kamili ya IRAP na jinsi wafanyakazi wa Resolution watakavyotakiwa
kuishi na Filosofia hiyo ili Kuboresha utendaji pamoja na Kumhudumia mteja kwa weredi. Kulia ni Bw. Melchizedek Muro Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa wateja kutoka Resolution.
Mkuu
wa Kitengo cha Huduma na Dharura kwa Wateja kutoka Kampuni ya Bima ya Resolution Bi. Batuli Karya akitoa
mrejesho baada ya Chemsha Bongo kwa wafanyakazi kumalizika.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Resolution wakimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Dharura kwa Wateja Bi. Batuli Karya(hayupo Pichani) wakati wa mrejesho wa Chemsha Bongo
Bw. Alphonse Michael (wa kwanza kulia) ambaye ni Mshauri Mkuu wa Biashara kutoka Kampuni ya Bima ya Resolution Tanzania akitoa mwongozo wakati wa uzinduzi wa IRAP kwa ajili ya kuwajengea uwezo wafanyakazi.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya Resolution wakiwa katika Chemsha Bongo
Mmoja
wa wafanyakazi wa Shirika la Bima la Resolution Bw. Melchizedek Nyau
akisoma swali wakati wa zoezi la chemsha bongo ikiwa ni sehemu ya
kuwajengea uwezo wafanyakazi
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya Resolution wakirusha Njiwa juu ishara ya uzinduzi rasmi wa IRAP
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Resolution na Kampuni ya Mikopo ya
Resolution Bw. Peter Nduati akizindua Michezo kwa ajili ya kujengea
uwezo wakafanyakazi.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Resolution Tanzania Bi. Maryjanne Mugo akizindua Michezo kwa ajili ya kujengea
uwezo wakafanyakazi.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bima ya Resolution wakiwa wanaendelea na michezo mbalimbali
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Resolution na Kampuni ya Mikopo ya
Resolution Bw. Peter Nduati (kushoto) akitoa zawadi kwa wafanyakazi.
Picha zote na Fredy Njeje/Blogs za Mikoa Tanzania
EmoticonEmoticon