Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini
Shigella akifungua Baraza kuu la 47 la Wafanyakazi wa Shirika la Umeme
nchini Tanzania (Tanesco) uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi
ya Mkuu wa Mkoa mjini Tanga kulia ni Katibu wa Baraza hilo,Asmaa Myale
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) Dkt Tito Mwinuka akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi huo uliofanyika mjini Tanga |
Mwenyekiti wa Tuico Taifa,Paul Sangeze akizungumza wakati wa Baraza hilo kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco,Dkt Tito Mwinukakatika mkutano huo uliofanyika mjini Tanga |
Katibu wa Baraza Kuu la
Wafanyakazi,Asmaa Myale akizungumza katika mkutano huo kulia ni Mkuu wa
Mkoa wa Tanga,Martini Shigella na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika
la Umeme Tanzania (Tanesco)Dkt Tito Mwinuka na Mwenyekiti wa wa Tuico
Taifa,Paul Sangeze
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini
Shigella kushoto akipongezwa na Mwenyekiti wa Tuico Taifa,Paul Sangeze
mara baada ya kufungua mkutano wa Baraza kuu la 47 la wafanyakazi wa
Shirika la Umeme nchini Tanzania (Tanesco) leo mjini Tanga
anayeshughudia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo,Dkt Tito
Mwinuka kushoto ni Katibu wa Baraza kuu la wafanyakazi,Asmaa Myale
Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo wakifuatilia kwa umakini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martin Shigella
Sehemu ya wajumbe wa mkutano huo wakiufuatilia kwa umakini |
Wajumbe wa mkutano huo wakifuatilia kwa umakini mkutano huo
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini
Shigella katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Tanesco
kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo,Dkt Tito Mwinuka
kushoto ni Katibu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi,Asmaa Myale mara baada ya
kufungua mkutano wa baraza kuu la 47 la wafanyakazi wa Tanesco
Picha ya pamoja na wafanyakazi wa Shirika hilo mara baada ya kufungua baraza kuu hilo
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Dkt Tito Mwinuka kushoto akiagana na
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella mara baada ya kufungua mkutano
wa Baraza Kuu la 47 la Wafanyakazi wa Tanesco
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
Tenesco,Dkt Tito Mwinuka akiuzungumza na waandishi wa habari mara baada
ya kufunguliwa kwa mkutano wa baraza hilo leo na Mkuu wa Mkoa wa
Tanga,Martini Shigella
Katibu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi,Asmaa Myale akizungumza na waandishi wa habari |
EmoticonEmoticon