Mama
Janeth Magufuli na Mama Mwanamwema Shein wakiwa na baadhi ya watoto
yatima wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mazizini Unguja ambako
wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar
walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali
na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.
Mama
Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein katika kituo
cha yatima cha SOS eneo la Mombasa mjini Unguja ambako wake hao wa
Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea
ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya
kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.
Mama
Janeth Magufuli akiwa na Mama Mwanamwema Shein wakimsalimia Bibi
anayelelewa katika kituo cha Wazee eneo la Welezo ambako wake hao wa
Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea
ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya
kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.
Mama
Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein wakisalimia
baadhi ya wazee wanaolelewa katika kituo cha Welezo Unguja wakati wake
hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar
walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali
na mafuta ya kupikia na sukari.
Mama
Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein akikabidhio
msaada wa vyakula kwa ajili ya wazee wanaolelewa kituo cha Welezo Unguja
wakati wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa
Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula
mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.
Mama
Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein wakiwa
katika kituo cha kulelea Wazee cha Sebleni Unguja wakati wake hao wa
Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea
ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya
kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.
Mama
Janeth Magufuli akiwa ameongozana na Mama Mwanamwema Shein akitoa
misaada katika kituo cha yatima cha wazee cha Sebleni Unguja wakati wake
hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar
walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali
na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017. .
Mama
Janeth Magufuli akiaga baada ya kutembelea katika kituo cha kulelea
Wazee cha Sebleni Unguja wakati alipotembelea hapo na kutoa msaada wa
vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari leo Oktoba 13, 2017.
PICHA NA IKULU
EmoticonEmoticon