Ben Pol na Maua Sama wakipagawisha wakazi wa jiji la Mwanza katika Tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumapili katika viwanja vya CCM Kirumba. |
Ommy Dimpoz akiburudisha wakazi wa jiji la Mwanza katika vviwanja via Tigo Fiesta mapema jana katika vviwanja vya CCM kirumba usiku wa kuamkia jumapili. |
Alikba na Ommy dimpoz wakilishambulia jukwaa la Tigo fiesta mapema usiku wa jana katika vviwanja vya CCM kirumba |
GNAKO na JUX wakiwaburudisha maelfu ya wakazi wa Mwanza katika Tamasha la Tigo Fiesta. |
Lulu DIVA akiwa na wacheza shoo wake wakitoa burudani ya kukata na shoka. |
NanDy akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema jana katika viwanja via CCM kirumba. |
Maua Sama naye akilishambulia jukwaa la Tigo fiesta |
Msanii wa bongo fleva Rayvanny akiwapa burudani wapenzi wa muziki kwenye tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa CCM kirumba jijini Mwanza usiku wa kuamkia Jumapili. |
Rosa Ree akipagawawisha maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza. |
EmoticonEmoticon