Msaidizi
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali
Mkeremy akibidhi Rambirambi(kwa niaba ya Mhe. Rais) kwa Mufti wa Tanzania
Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry Ally
ambaye amefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam
Msaidizi
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali
Mkeremy akizungumza jambo na Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye
amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry nyumbani kwa Marehemu Kinondoni Mtaa
wa Ufipa jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano
ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu.
EmoticonEmoticon