Kaimu
Naibu Kamishna Upelelezi wa Kodi, Eustacio Makala akisalimiana na Meneja
Elimu kwa mlipa kodi, Diana Masala kabla ya kuanza kwa mkutano wa
watendaji waandamizi wa Mamlaka za mapato za jumuiya ya Afrika Mashariki
kwa makamishna wapelelezi kwa maswala ya kodi uliofanyika jijini Dar es
Salaam leo. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)
Washiriki wa mkutano huo wakianza kwa kumtanguliza Mungu kwanza.
KAIMU
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Gerald Mwanilwa
akisoma hotuba ya Kamishna Mkuu wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa
makamshina na watendaji waandamizi wa Mamlaka za mapato za jumuiya ya
Afrika Mashariki kwa makamishna wapelelezi kwa maswala ya kodi
uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
KAIMU
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Gerald Mwanilwa
(kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya watendaji waandamizi wa
mamlaka hiyo wakati wa mapumziko ya Mkutano wa Mamlaka za mapato za
Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa makamishna wapelelezi kwa maswala ya
kodi uliofunguliwa jijini Dar es Salaam leo Septemba 27 2017. Kutokea
(kushoto) ni Kaimu Naibu Kamishna wa Upelelezi wa Kodi, Salim Kessi,
Kaimu Naibu Kamishna Upelelezi wa Kodi, Eustacio Makala na Meneja Elimu
kwa mlipa kodi, Diana Masala.
KAIMU
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Gerald Mwanilwa
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano huo.
EmoticonEmoticon