Helkopta iliyombeba Meja Jenerali Michael Isamuhyo
ikitua katika uwanja wa wazi wa Mererani, Wilaya ya Simanjiro Mkoani
Manyara tayari kwa kukagua eneo litakalojengwa uzio kuzunguka kitalu A
hadi D katika eneo la Madini la Tanzanite Mererani ikiwa ni utekelezaji
wa agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Meja Jenerali Michael Isamuhyo akisalimiana na viongozi wa Wilaya
ya Simanjiro na wananchi mara baada ya kutua katika uwanja wa wazi wa
Mererani, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara tayari kwa kukagua eneo
litakalojengwa uzio kuzunguka kitalu A hadi D katika eneo la Madini la
Tanzanite Mererani ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Pombe
Magufuli
Meja Jenerali Michael Isamuhyo ikipenya kwenye vichaka wakati wa kukagua eneo litakalojengwa ukuta.
Meja Jenerali Michael Isamuhyo akioneshwa ramani ya vitalu A hadi D katika eneo la madini ya Tanzanite huko Mererani.
Meja Jenerali Michael Isamuhyo akioneshwa ramani ya vitalu A hadi D katika eneo la madini ya Tanzanite huko Mererani.
Meja Jenerali Michael Isamuhyo akitembelea na
kuoneshwa eneo la vitalu A mpaka D katika eneo la machimbo ya Tanzanite
Mererani wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara leo Septemba 21, 2017,
tayari kwa kuanza kazi ya kujenga uzio kuzunguka eneo hilo kufuatia amri
ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyotoa jana ili kudhibiti biashara ya
madini hayo yanayopatikana Tanzania pekee
EmoticonEmoticon