Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya
Misri Mhe. Abdel Fattah el-Sisi akiwasili nchini leo kwa ziara rasmi ya
Kiserikali ya siku mbili. Apokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania Dk. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya
Misri Mhe. Abdel Fattah el-Sisi akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaama mara baada ya kuwasili
nchini leo kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku mbili.
EmoticonEmoticon