Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi wakati
wa nyimbo za mataifa mawili zikipigwa katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA). Rais huyo wa Misri ameondoka mara
baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi wakati
akielekea kupanda ndege mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili
hapa nchini
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi mara baada ya kumaliza ziara yake ya
siku mbili nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza
nyimbo za kikundi cha matarumbeta kilichokuwa kikitumbuiza katika uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumsindikiza
mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi ambaye ameondoka mara
baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mbunge na Waziri wa zamani wa Mambo ya nje wa Japan
Ichiro Aisawa aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika mazungumzo na Mbunge na Waziri wa zamani wa Mambo ya nje wa Japan
Ichiro Aisawa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mbunge na Waziri wa zamani wa Mambo ya nje wa Japan Ichiro Aisawa mara
baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
EmoticonEmoticon