Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
ya ZBC Bi.Nasra Mohamed (kulia) alipokuwa akitoa taarifa ya Bodi
yake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara
ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo na Uongozi wa ZBC, chini ya
Mwenyekiti wa kikao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),(kushoto) Mjumbe wa Bodi
Nd,Ali Bakari
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na
Michezo , Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZBC pamoja na Uongozi wa ZBC
leo katika kikao cha siku moja kilichofanyika katika Ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja,
Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Nd,Iman
Othman Duwe (kulia) alipokuwa akitoa maelezo mbele ya Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo katika kikao cha siku
moja cha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi
ya Wakurugenzi ya ZBC na Uongozi wa ZBC,ambacho kikao hicho kimejadili
mambo mbali mbali ya kiutendaji ya ZBC na Bodi kwa pamoja,(kushoto)
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikalini Mhe.Mohamed Fakih,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,Bodi
ya Wakurugenzi ya ZBS pamoja na Uongozi wa ZBS katika kikao cha
siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
ya ZBS Prof Ali Seif Mshimba (kushoto) alipokuwa akitoa taarifa ya
Bodi yake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo
katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa
Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko na Uongozi wa ZBS, chini ya
Mwenyekiti wa kikao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),(kulia) Mwanasheria Mkuu
wa Zanzibar Nd,Said Hassan Said
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
ya ZBS Prof. Ali Seif Mshimba (kulia) alipokuwa akitoa taarifa ya Bodi
yake wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa
Ikulu Mjini Unguja,ambacho kilijumuisha Uongozi wa Wizara
ya Biashara,Viwanda na Masoko na Uongozi wa ZBS, chini ya Mwenyekiti
wa kikao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),wengine ni baadhi ya Wajumbe
wa Bodi ya ZBS wakisikiliza kwa makini taarifa hiyo,
Picha na Ikulu.
EmoticonEmoticon